Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,311
Ajiandae kushika jembe huyu popooo
It's like there is a concerted effort to trash Raila Odinga in these forums.
anauwezo wa kulisha ukoo wenu zaidi ya miaka mia.tatizo tunacoment hata bila kuchambua kiundani,chanzo cha habari ni gazeti la wakikuyu.kwa kuwa sisi waTz tumezoea kuchangia bila kutafakari.
Huyu jamaa ni bure sana japo anawashabiki wengi humu. Kawaida, mtu mbovu huwa kila siku anaonewa yeye tu. Bado nafikiri hukumu hato ikubali na atataka kwenda mtaani.
yaani watu watashangazwa na kuwa surprised verdict ikitoka, bora mimi sisemi