Raila should not be allowed on Live TV

Raila should not be allowed on Live TV

LightYagami

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,825
Reaction score
1,493
Wameanza fujo Mathare, Kibera na Kawangware. Dont care which side you are on but if this guy is allowed to talk on Live TV ni very risky at this time. Hajasema the next step na kameanza kunuka, je akitaja? Good thing the media is not talking about violence.
 
Kama unataka asiruhusiwe, iebc waharakishe walete hizo docs from vituo vya kura ambavyo Odinga anavitaka.
 
Wameanza fujo Mathare, Kibera na Kawangware. Dont care which side you are on but if this guy is allowed to talk on Live TV ni very risky at this time. Hajasema the next step na kameanza kunuka, je akitaja? Good thing the media is not talking about violence.
Mkuu akili za ccm ziishie chalinze. umejiuliza asipoikika halafu habari isambae katekwa nini kitatokea? km hamtomtafuta kuja zima moto. mbaya kwa kenya wasiombe violence itokee. Al shabab nao wasitangaze kumsaidia aliyepokwa ushindi.Ghafla alshabab atajikuta wamehalalishwa.
 
Mwekeni sehemu salama tu mpaka hii tension ipungue
 
Hawa jamaa wanajitamba na " demokrasia", lakini uchaguzi wao umejaa ukabila, ubaguzi, vurugu za kijinga na umwagaji damu. Najivunia kuwa Mtanzania kwa kweli.
Pamoja na mapungufu yao kuna mengi ktk democrasia wametupita. Democrasia ni km kilimo bora. Anayelima kwa Tractor hata mbovu na unayelima kwa jembe ya mkono ktk mazingira ambayo ukubwa wa eneo unalolima ni muhimu.Huwezi jilinganisha. Tanzania utulivu wetu umefichwa ktk ujinga wa watu wetu, umefichwa ktk woga wa watu wetu,umefichwa ktk woga wa watendaji wa tasisi mbalimbali. Kwa ujumla amani yetu sio tafsiri ya democrasia.
 
chadema wameiba kura nchi jirani sie hatuwataki
 
Meanwhile

FB_IMG_1502290373804.jpg
 
siasa za ukabila ni zaidi ya fitina
Bongo ktk chaguzi kuna ukabila, kuna udini, kuna ukanda. Zaidi ya unafiki wa watanzania na tabia ya KUFNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE.Bongo sio. Tuwe makini tunaporudiarudia vitu km kasuku. Km hamjui mnafiki na mwongo dawa yake ni time tuu.Muda si mrefu huwa namaliza options zote na kujikuta anahitaji kuface reality.Waulize watu waliofikiri ccm ni baba yao na mama yao.
 
Yaani anachoongea Raila ni SAWA kabisa na hoja za UKAWA mwaka 2015. Unasema kura zinazotangazwa ni tofauti na kura zilizosainiwa na ma agents wa vyama vya siasa. Basi toa hata county moja ya Kenya yenye discrepancy. Loeassa na UKAWA walishindwa kuonyesha hata kata moja yenye discrepancy na hata Odinga hataweza kuthibitisha kidhulumiwa. Wote wamelaaniwa will never be marais wa nchi hizi. Sijui watubu vipi ila sio kupitia matapeli kama TB Joshua!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akapimwe mikojo au huko hii kitu haijafika?
 
Media ndio wanataka hayo ambayo wewe unataka wayakwepe.
 
Yoyote atakayekubali kufa kwa sababu ya uhuru/odinga ni mjinga kabisaa.
Tatizo waumini wa ccm ni short sighted .Wakati unaona kwamba watu wanakufa kwa ajili ya Raila na Uhuru. Unasahau kuangalia other values hao jamaa wana represent.Yaani mutual benefits. Wewe kwa vile ni mchoyo unataka Raila na Uhuru wagombee bure. Hizo ni akili za ujamaa. Lazima hao jamaa wawe na kitu cha kuwafanya wagombee na watake uongozi desperately. Na huo ndio ujira wao. Wananchi wana values nyingine wanataka. Wanataka mtu atakeyevunja mfumo wa kundi fulani, na hayo makundi wanataka linda mifumo yao ili wajihakikishie uhai wa makundi yao. Unachoongea ni km kumshangaa mtu aliyepo ndani akipambana na simba kumuokoa mtu anayeliwa, badala ya kukimbia.Ila hujajiuliza km huyo angeacha mwenzie aliwe akabaki mwenyewe , naye asingeliwa baadae?Je kipindi akiliwa atakuwa na msaada?
 
Pamoja na mapungufu yao kuna mengi ktk democrasia wametupita. Democrasia ni km kilimo bora. Anayelima kwa Tractor hata mbovu na unayelima kwa jembe ya mkono ktk mazingira ambayo ukubwa wa eneo unalolima ni muhimu.Huwezi jilinganisha. Tanzania utulivu wetu umefichwa ktk ujinga wa watu wetu, umefichwa ktk woga wa watu wetu,umefichwa ktk woga wa watendaji wa tasisi mbalimbali. Kwa ujumla amani yetu sio tafsiri ya democrasia.
Watanzania wamestaarabika, unaenda vipi kumuua jirani yako kwa sababu tu mna tofautiana kabila au itikadi?
 
Back
Top Bottom