Mnaona lakini hapa
News: Uhuru, Ruto campaign in Kericho - YouTube
News: Uhuru, Ruto campaign in Kericho - YouTube
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwita Maranya kumbe umelala usingizi hata hujui Raila tayari alikwisha kuzindua kampeni zake pale uhuru park na mahudhurio hayafikii hata nusu ya hii ya leo? Kuhusu ukabila...................kenya is tribalistic and there is no a better than anybody else............................CORD ina sura ya utaifa na jubille ni makabila mawili tu.............Na Charity ngilu naye ni kabila ipi, Najib balala...........................ungeliwaona leo wakubwa wa Jubilee....................tatizo hata TV za matangazo ya kenya sidhani kama huwa unaiangalia......it is game over....................
Hata mie naamini game-over kwa Raila. Maana uhuru/ruto/balala.ngilu na wengine. mhhh Raila atapenya je hapo?
Charity Ngilu is no longer powerful ukambani as she used to be, the same applies to Najib Balala huko pwani.
Halafu ruta uache madharau yako ya kihaya, mimi natumia kitu cha digiti tangu 2010 halafu unataka kuniambia nini hata kama kweli mkutano wa Railonzo uhuru park ulinipita si rahsi kukaa kwenye tv kila siku muda wote na kufuatilia taarifa zote za habari. Hata hivyo najua Raila anakubalika sana nairobi kuliko unavyom-underate.
Mnaona lakini hapa
News: Uhuru, Ruto campaign in Kericho - YouTube
Hommie usimchukulie poa kiasi hicho Raila, jamaa anajua fitna za siasa na mbinu za uchaguzi. Bado ni mapema sana kwakuwa hata jubilee wenyewe wanafanya kila mbinu kuweka mambo sawa na UDF na Eagle ili wasiposhinda moja kwa moja raundi ya kwanza basi wawaunge mkono kwenye raundi ya pili, kwahiyo the game is just in the beginning!