Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
same question i had wanted to ask!!Kwani kuzima kwa simu ya Kalonzo kuliathiri nini kwa taifa la Kenyq?
Hahaa! [emoji1] Wanachafuana bila mchezo, wakati wa kuapishwa kwa Raila Kalonzo alisema Raila aliwaacha hotelini walipokuwa kwenye kikao na vinara wenza wa NASA kisha akawaambia wazime simu zao atawapigia na nambari ya simu ya Ghana. Alafu baadaye kidogo wakasikia tayari Baba keshaapishwa! [emoji38]Kalonzo Keisha habari yake!