Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
- Thread starter
-
- #21
true,..both of them are to be blamed...but without Odinga in the picture, I see a good ending for Kenya...Remember it is Odinga's supporters who normally begin loots and cause havoc and subsequently, the death of innocent Kenyans...but now that Odinga has left the ballot, who are they going to fight for??Something alerts me that things may not be as easier as u think,
Siasa za Africa zimejaa sarakasi sana, I blame both of them, Uhuru and Odinga.
Je Katiba yenu inatembea Uchaguzi wa mgombea mmoja? Na je nipe tofauti yake na upigaji kura wa Mlolongo enzi ya Moi? Haki ya Mungu lazma mpigane..inaweza kuwa Odinga aliona hilo mapema na ndio maana akajiondoa ili kuepuka aibu....Jubilee ina wabunge wengi bungeni pamoja na majority of Governors and Senatirs. Pili, hajatumia muda wake kupiga kampeni kama vile Kenyatta amefanya...amekuwa akifanya tu maandamano ya IEBC
Karibu CCM mdauHe... kumbe wewe ndo wale wale. Wote Fisiemu na chandomo hawana tofauti... yani wote mabwege tu, hawana lolote.
weee kafiri usiape na jina la mungu kwa vitu vya kijingaJe Katiba yenu inatembea Uchaguzi wa mgombea mmoja? Na je nipe tofauti yake na upigaji kura wa Mlolongo enzi ya Moi? Haki ya Mungu lazma mpigane..
Clinton alimzidi kura trump ilihali trump alikua na masenator na wanacongress kibaoinaweza kuwa Odinga aliona hilo mapema na ndio maana akajiondoa ili kuepuka aibu....Jubilee ina wabunge wengi bungeni pamoja na majority of Governors and Senatirs. Pili, hajatumia muda wake kupiga kampeni kama vile Kenyatta amefanya...amekuwa akifanya tu maandamano ya IEBC
Mbona hujiulizi kivp Obama alishinda round ya pili akiwa amezidiwa chaguzi za maseneta na wabunge??? Hakuna uhusiano Kati ya kura za ubunge na urais after all majimbo yanatofautiana kura no wonder ukishinda ubunge majimbo ya dar yote Mbeya yote na mwanza yote unaweza tawazwa Rais maana kura zitavuka million 6 so hoja yako haina mashiko nyie kuangushwa miji mikubwa yenye majority voters ni ushahidi kuwa mlichokwa sababu ndio kura nyingi ziko hukoIla mi chandomo ikija huku bongo inasema eti iliibiwa kura wakati hata idadi ya wabunge chama chetu cha CCM kniwazidi mabili kinoma. Ila wapinzani wetu wamechanganyikiwa
Hasara gani mkuu wwe ulitaka afanyeje?? Kivuitu na isaack hassan ambao ni wenyeviti wastaafu wa tume za uchaguzi walikiri odinga ameibiwa sana kura ssa kma wao wanakiri ulitaka odinga ashiriki aibiwe tena?Yeah... wabinafsi sana. Hivi sasa Kenya ingekuwa inasonga mbele kwa mambo ya msingi, sio kuzunguka kuomba kura ambazo hazikuwa na maana yoyote... Raila katia hasara na aibu kubwa sana kwenye nchi yake.
Wasingeweza rudia hesabu masanduku wakati mahakama ilishasema karatasi hazikua na alama za kiulinzi hivyo karatasi zinaweza chezewa na mtu yoyoteSawa kabisa mkuu maana kasoro walizosema ni kuwa kuna fom zilikosa kusiniwa ina maana hazikuthibirshwa sasa kama hazikuthibitishwa na hapo ndipo utata umeanza uhuru aliomba kura kwa vile zipo zihesabiwe upya wakagoma ikaonekana uhuru labda keshaongeza kura katika masanduku sasa limekuja swala la kurudio uhur kakubali na wamekubali kuepuka ule udhaifu wa mwanzo mtu anagoma huu n upuuz
huu usemi wa kujidharau siupendi eti 'siasa za afrika' haya basi tuambieni ni siasa za wapi hawaoni kuibiwa?wote huwa wanaona kuwa waliibiwa....yaani siasa za Afrika taabu