Raila's withdrawal is a good thing for Kenya

Raila's withdrawal is a good thing for Kenya

Something alerts me that things may not be as easier as u think,
Siasa za Africa zimejaa sarakasi sana, I blame both of them, Uhuru and Odinga.
true,..both of them are to be blamed...but without Odinga in the picture, I see a good ending for Kenya...Remember it is Odinga's supporters who normally begin loots and cause havoc and subsequently, the death of innocent Kenyans...but now that Odinga has left the ballot, who are they going to fight for??
 
inaweza kuwa Odinga aliona hilo mapema na ndio maana akajiondoa ili kuepuka aibu....Jubilee ina wabunge wengi bungeni pamoja na majority of Governors and Senatirs. Pili, hajatumia muda wake kupiga kampeni kama vile Kenyatta amefanya...amekuwa akifanya tu maandamano ya IEBC
Je Katiba yenu inatembea Uchaguzi wa mgombea mmoja? Na je nipe tofauti yake na upigaji kura wa Mlolongo enzi ya Moi? Haki ya Mungu lazma mpigane..
 
Je Katiba yenu inatembea Uchaguzi wa mgombea mmoja? Na je nipe tofauti yake na upigaji kura wa Mlolongo enzi ya Moi? Haki ya Mungu lazma mpigane..
weee kafiri usiape na jina la mungu kwa vitu vya kijinga
 
Ni mapema kuthani kwamba mambo yatakuwa poa! Odinga hajajitoa kwa sababu ya kuitakia mema Kenya bali kwa sababu Tume ya Uchaguzi na Mipaka haitaki kufanya mabadiliko ya kile kilichopelekea matokeo ya uchaguzi kubatilishwa. Hivyo, nadhani anaandaa namna ya kuzuia uchaguzi huo usifanyike na kama utalazimishwa kufanyika basi apate pa kuanzia prukushani!
Tusubiri kuona!
 
inaweza kuwa Odinga aliona hilo mapema na ndio maana akajiondoa ili kuepuka aibu....Jubilee ina wabunge wengi bungeni pamoja na majority of Governors and Senatirs. Pili, hajatumia muda wake kupiga kampeni kama vile Kenyatta amefanya...amekuwa akifanya tu maandamano ya IEBC
Clinton alimzidi kura trump ilihali trump alikua na masenator na wanacongress kibao
 
Odinga katoka kula hela ya ma Baba wa Kenya (Uingereza ) only time will tell. Too sad Kenya its still not free
 
Ila mi chandomo ikija huku bongo inasema eti iliibiwa kura wakati hata idadi ya wabunge chama chetu cha CCM kniwazidi mabili kinoma. Ila wapinzani wetu wamechanganyikiwa
Mbona hujiulizi kivp Obama alishinda round ya pili akiwa amezidiwa chaguzi za maseneta na wabunge??? Hakuna uhusiano Kati ya kura za ubunge na urais after all majimbo yanatofautiana kura no wonder ukishinda ubunge majimbo ya dar yote Mbeya yote na mwanza yote unaweza tawazwa Rais maana kura zitavuka million 6 so hoja yako haina mashiko nyie kuangushwa miji mikubwa yenye majority voters ni ushahidi kuwa mlichokwa sababu ndio kura nyingi ziko huko
 
Yeah... wabinafsi sana. Hivi sasa Kenya ingekuwa inasonga mbele kwa mambo ya msingi, sio kuzunguka kuomba kura ambazo hazikuwa na maana yoyote... Raila katia hasara na aibu kubwa sana kwenye nchi yake.
Hasara gani mkuu wwe ulitaka afanyeje?? Kivuitu na isaack hassan ambao ni wenyeviti wastaafu wa tume za uchaguzi walikiri odinga ameibiwa sana kura ssa kma wao wanakiri ulitaka odinga ashiriki aibiwe tena?
 
Sawa kabisa mkuu maana kasoro walizosema ni kuwa kuna fom zilikosa kusiniwa ina maana hazikuthibirshwa sasa kama hazikuthibitishwa na hapo ndipo utata umeanza uhuru aliomba kura kwa vile zipo zihesabiwe upya wakagoma ikaonekana uhuru labda keshaongeza kura katika masanduku sasa limekuja swala la kurudio uhur kakubali na wamekubali kuepuka ule udhaifu wa mwanzo mtu anagoma huu n upuuz
Wasingeweza rudia hesabu masanduku wakati mahakama ilishasema karatasi hazikua na alama za kiulinzi hivyo karatasi zinaweza chezewa na mtu yoyote

Pia odinga ulitaka arudi kwenye uchaguzi kwenye mazingira Yale Yale?? Does it make sense?? Afu akishindwa aanze kulialia tena hivi mnawazaje nyie
 
Odinga bado hajatulia, atakuja na mengine, kumbuka bado maandamano yapo na pia kumbuka alisema tarahe ya uchaguzi itangazwe upya.
 
Back
Top Bottom