Wakuu jaribuni kujua nature ya wanyama na mfumo wa train zetu.
Hizi ni train kama zile za reli ya kati,full zogo,angalau zingekuwa zile za umeme hapo sawa.
Lazima watalia Wakenya,Wanyama wengie watahama kwenye mbuga za jirani,na kama wakiweka hadi Masai Mara basi Serengeti itafaidika zaidi,maana ni jirani na wanyama kibao watakimbilia huku.
Hasa wale wasipenda zogo,
Kwale wale ambao mmepanda train ya kwenda kusini na kupita pori la Selous,mtakuwa mashahidi juu ya hili,advantage ya Selous ni Ukubwa wake.Railways wameiweka mbali.