Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo wana Mazingira wa Kenya hauwezi kuwasikia wakisema kitu chochote kuhusu hilo,bali likifanyika Tanzania wanageuka kuwa shubiri kudai uharibifu wa mazingira! Ni watu wa ajabu sana.