Raimundo popote pale ulipo

Raimundo nilimuona maeneo ya kwa mtogole anakimbizwa na wananchi wenye hasira kali sijui aluwatendea nini jamaa ana mbio anaziovateki bodaboda kama zimesimama
😀😀😀😀😀
Najua ni uongo, lakini wacha tu nicheke ... Hahahahaaaaa teh teh
 
ndio hivyo mkuu, sasa alikopa akakosa uaminifu wa kurudisha kwa aliyemkopa...
ebanaee kweli watu wanaitumia vizuri jf,hadi mikopo mnapata na mademu juu,wengine tunaishia kubishana kwenye thledi tu.
Asa mkuu jose nyamihela nifanyie mpango bas na mie mpango wa mkopo,dola buku tu mwanangu,ntalipa kwa installment kuanzia mwakani
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Ahahaha....Usawa unakaba mkuu
 
ebanaee kweli watu wanaitumia vizuri jf,hadi mikopo mnapata na mademu juu,wengine tunaishia kubishana kwenye thledi tu.
Asa mkuu jose nyamihela nifanyie mpango bas na mie mpango wa mkopo,dola buku tu mwanangu,ntalipa kwa installment kuanzia mwakani
Watu wanaona mpk K nyeusi....sasa sijui ni weusi wa mkaa au mpingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…