Raimundo popote pale ulipo

Kuna nilikukuta jukwaani sijui ni mmu au huku chit chat nikakuquote mpaka nikamwambia nyagei ujue umenigombanisha na cuzoo wangu ebu niambie umemfanya nini
Sikuona bhana cuzooo afu na muda kidogo sijatokea jf
 
Una kila sababu ya kumkumbuka, kwa ujumla kila mwanadamu ana udhaifu wake, japo tuna tabia ya kuushambulia udhaifu uliojiweka dhahiri...mimi sikuwahi kuwa na ukaribu naye so sina sababu ya kumnyooshea kidole
Kuna wengine hata Ku quotiana kwenye nyuzi hawajawahi lakini mwee wana uchungu utadhani wanataka kuzaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…