Cc sumbaimakaburi unayataja ya nini tena???
Ndiyo, ni mimi na wewe kwenye kuconnect vikojoleo vyetu....its my time!!!
Muhenga geni nilionana nae juzi kwenye uzi flani sakayo mzima sana anawasalimia sanaMi mzima. Sakayo na geni wako poa?? Nimmemiss muhenga geni
Kiwatengu ujue we mzee kama babu asprinmakaburi unayataja ya nini tena???
Ndiyo, ni mimi na wewe kwenye kuconnect vikojoleo vyetu....its my time!!!
Hii ya njano bhanaUkinipa nyeusi?!
uzee kwenye nini Kwani? acha kuniharibia Shunie...Kiwatengu ujue we mzee kama babu asprin
BongoloadKwani wewe unasemaje labla?
Yaani point yako ni nini?
Ahahha yaan mambo yenu nyie wazee au mapacha nyieuzee kwenye nini Kwani? acha kuniharibia Shunie...
Wewe mwache nitamchuna hadi mvi.Kiwatengu ujue we mzee kama babu asprin
Hakuna namna mchune tu aache kumalizia uzee wake na wazee wenzie anataka vijana achunweeeWewe mwache nitamchuna hadi mvi.
Atakuja huku soon kulia lia.
kiwatengu sijasema chochote nime hakiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anacho kiinua mgongo.Hakuna namna mchune tu aache kumalizia uzee wake na wazee wenzie anataka vijana achunweee
Hakuna kumuonea huruma maliza zote
DuhHii ya njano bhana
Kiwatengu alitufungisha ndoa Leo anakugeuka.
Braza huyu mrembo asubuhi aliniambia kuwa umemtelekeza, sasa siunanijua nilivyo na huruma?
Haha haya blaza uje umsalimie mtoto wetu p.....Braza huyu mrembo asubuhi aliniambia kuwa umemtelekeza, sasa siunanijua nilivyo na huruma?
We si ulikuwa unalalamika hapa kuwa umetelekezwa? Au sio wewe...na ukadai kuna mambo unataka kufanya upate mtoto mwingine upunguze machungu....ukidai kuwa wazee tunajua kulea?Kiwatengu alitufungisha ndoa Leo anakugeuka.
Vipi ulishamwambia kwamba Mimi na wewe tumejaliwa mtoto ..P...
Alete zawadi ya mtoto aache kelele.
Sent using Jamii Forums mobile app