Raimundo popote pale ulipo

We si ulikuwa unalalamika hapa kuwa umetelekezwa? Au sio wewe...na ukadai kuna mambo unataka kufanya upate mtoto mwingine upunguze machungu....ukidai kuwa wazee tunajua kulea?
Haha haha.
Wewe ndiyo uliniambia kwamba unanipenda.. Mimi nikakuambia namwogopa Mume wangu ukasema kwanza sumbai mwenyewe anacheat kwa hiyo na Mimi nije kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We si ulikuwa unalalamika hapa kuwa umetelekezwa? Au sio wewe...na ukadai kuna mambo unataka kufanya upate mtoto mwingine upunguze machungu....ukidai kuwa wazee tunajua kulea?
Blaza umemsingizia Mama p. Unajua sometimes anammis Shem wake Raymundo ndio maaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…