Degree?? Tuuuu na astashahada tuu.Ha ha ha ha yaani wewe.
Eti si ninaona matangazo ya biashara....
Kweli ile degree ya uchumi ulistahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha akija akibisha kwamba yeye Hakuwa kimada wa Ray nitaweka.Naomba utuwekee Evidance hapa maana wanamuandama sana wajina wangu..
Baba p kumbe debe lote hilo ni Mimi nishiriki ? Ha ha ha.Degree?? Tuuuu na astashahada tuu.
Mwambie amwambie invisible afanye mambo. Hili taji ushashinda
Eti wewe huu usichana nyota wako uliupata kupitia super nyota?
Una nini wewe mzee lakini ujana wako ule na nanii mean come with no covers!!!
Kigezo Ni uzuri tuuuu.....Baba p kumbe debe lote hilo ni Mimi nishiriki ? Ha ha ha.
Watu waliozaa wanaruhusiwaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nooooope, mi star kitamboooEti wewe huu usichana nyota wako uliupata kupitia super nyota?
halafu hujanijibu bado.Nooooope, mi star kitambooo
njoo njoo chap chap....Una nini wewe mzee lakini ujana wako ule na nani
Nasikia ww ni chawote humu?Kwa hiyo sasa hivi ni Mimi na wewe?
Makaburi yatatuacha salama kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Oouh, naonaNooooope, mi star kitambooo
maniner....ndio nini hichi!!!Ha ha ha akija akibisha kwamba yeye Hakuwa kimada wa Ray nitaweka.
Ujue sikupenda tufike huku. Ila siku moja kwenye Uzi mmoja alisema Mimi ni wifi yani mke wa Raimundo. Anaita watu eti waje waone . akasahau kwamba mti anaoukata ndiyo alioukalia....
Leo pia sikutaka kuchangia huu Uzi kiviile , amekuja hapa ananisema kimafumbo.
Sasa kama yeye Hakuwa kimada wa Raimundo na kilichofanya wagombane ni alidanganya kwamba ATM card imesahaulika alipie lodge na misosi halafu jamaa hajamrudishia aje hapa abishe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha akija akibisha kwamba yeye Hakuwa kimada wa Ray nitaweka.
Ujue sikupenda tufike huku. Ila siku moja kwenye Uzi mmoja alisema Mimi ni wifi yani mke wa Raimundo. Anaita watu eti waje waone . akasahau kwamba mti anaoukata ndiyo alioukalia....
Leo pia sikutaka kuchangia huu Uzi kiviile , amekuja hapa ananisema kimafumbo.
Sasa kama yeye Hakuwa kimada wa Raimundo na kilichofanya wagombane ni alidanganya kwamba ATM card imesahaulika alipie lodge na misosi halafu jamaa hajamrudishia aje hapa abishe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha wote kutoa wewe han.isi.Nasikia ww ni chawote humu?
Mondray . ngoja nianzie nyuma kuja mbele. Ray...Hahaaaa namuonaga anavyoshadadia hiyo isuee..
Ukweli usemwe vitu viwe clear kwann wamsakame mtu hana ishu nao..Wamuache muha mwenzangu..