Raimundo popote pale ulipo

Mondray . ngoja nianzie nyuma kuja mbele. Ray...
Hili halikwepi.
Halafu uzembe aliofanya kwa kuwa Raimundo alikuwa na mke hivyo walikuwa wanachati pm na email .

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh!!! Jamaaa aliheshim
Ndoa yake akijua

Huu n mchepuko wa kupita tu
Mchepuko kweli hatuupeag nafas
Ukiwa na ndoa ya heshima

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Eeeh!!! Jamaaa aliheshim
Ndoa yake akijua

Huu n mchepuko wa kupita tu
Mchepuko kweli hatuupeag nafas
Ukiwa na ndoa ya heshima

[Color= yellow]Triple A[/color]
Kweli jamaa aliheshimu ndoa yake na alimchana kwamba ana mke kabisa.

Rubii kwa Leo nimeishia hapa sitaongea chochote tena ila tabia ya kunisema kimafumbo ife..
Uzuri siku zote naanzaga kwa kukupa onyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli jamaa aliheshimu ndoa yake na alimchana kwamba ana mke kabisa.

Rubii kwa Leo nimeishia hapa sitaongea chochote tena ila tabia ya kunisema kimafumbo ife..
Uzuri siku zote naanzaga kwa kukupa onyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap hyo n kwa mwanaume
Anaejua unuhimu wa mke wake

Sasa unaona hata,mchepuko
Hauna faida yoyote pale
Mtu anaenda kupunguzia tu
Stress

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Raimundo nilimuona maeneo ya kwa mtogole anakimbizwa na wananchi wenye hasira kali sijui aluwatendea nini jamaa ana mbio anaziovateki bodaboda kama zimesimama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Spare my ribs Bro daaah eti ana overtake bodaboda kama zimesimama vile.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Bodaboda walikuwa wanauliza ni kitu gani kinatupita hicho kina kasi hivo nikawaambia raimundo wakauliza hiyo raimundo ni toleo jipya la pikipiki nikawaambia ni raimundo wa jf
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahahhahaha wewe sikugawi aiseeee utabaki na mimi uchangamshe bandama langu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Bodaboda walikuwa wanauliza ni kitu gani kinatupita hicho kina kasi hivo nikawaambia raimundo wakauliza hiyo raimundo ni toleo jipya la pikipiki nikawaambia ni raimundo wa jf
Hahahaj[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu mie we mkaka taratibu wengine mbavu zetu zimeegeshwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…