Raimundo popote pale ulipo



Hapa tu ndio napoipendaga jamiiforum kumbe najulikana kiasi hiki enhee....
 
Shule ipi tena na nilishindwa tangu 2013 ??
Nikijiuza nakopwa ada sina
Sap za kutosha GPA haifiki 3 na baba yangu marehemu??
wewe umehitimu kidato cha nne 2013 ukaona advance hupawezi ukaona u shift uende diplo ,diplo napo unapodoa .

Ushauri bora uache shule ukajifunze hata kushona nguo ,sio lazima wote tusome .as long as umefika form 4 na ww ni ke hicho ni kigezo tosha utaweza kuolewa.
 


Form four to Diploma??? System ya wapi hiyo
 
Acha nimpe kampani mtoto wa kijana wa MUHAS uyu inaelekea amejawa na upweke achelewi kuanzisha thread na kujijibu mwenyewe
Kampani mtu akija pm tu storu mbili tatu unamlilia shida .mara ooh ninunulie iPhone 7 mara ooh nikopeshe pesa nimekula ada
Maza fanta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…