Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Asalam alaykm bi Faa. Unakumbuka nlikuuliza kuh hii cake?
Nliwah kula pahali nkaipenda, Asante kwa recipe mpnz. Will try to cook it in sha Allah
Hizo rangi sasa...mmh
mate yamenitokaje shosti? yami yami
Hii napika kesho inshaallah na pix nitakuwekea humu
Nakuambia kwa mtindo huu tutakula keki kila siku......booonge la recipe ya kukuza interest ya kupika kwa watoto!
cuties wangu watalala jikoni siku hiyo!
Fixed Point hem upite huku
Nakuambia kwa mtindo huu tutakula keki kila siku......
Hii napika kesho inshaallah na pix nitakuwekea humu
MashaaAllah inavutia kweli na bila shaka ni tamu sana