Rainbow cake

Rainbow cake

Asalam alaykm bi Faa. Unakumbuka nlikuuliza kuh hii cake?

Nliwah kula pahali nkaipenda, Asante kwa recipe mpnz. Will try to cook it in sha Allah
 
Asalam alaykm bi Faa. Unakumbuka nlikuuliza kuh hii cake?

Nliwah kula pahali nkaipenda, Asante kwa recipe mpnz. Will try to cook it in sha Allah

Waalayk salaam...

Yeah nakumbuka sana tu...

Ukipika nletee nionje...lol
 
booonge la recipe ya kukuza interest ya kupika kwa watoto!
cuties wangu watalala jikoni siku hiyo!
Fixed Point hem upite huku
 
Last edited by a moderator:
Me kusema kweli natamani tu nihamie nyumbani kwako, ili niwe nafaidi mapishi yako tu. Upo vizuri sana kwenye mapishi. Mmh siku nikiamka vizuri ntajaribu kuipika hii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
MashaaAllah inavutia kweli na bila shaka ni tamu sana
 
Back
Top Bottom