CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Hawa ni Hybreed kutoka India walio developiwa na Indbrow, hawa ni kati ya kuku wano kuwa very havy ambapo Jogoo wa miezi miwili hufikia kilo 2 huku mtetea akiwa na kilo moja na nusu, na wanaweza fugwa huria na ni dual purpose kwamba wanaweza kuwa wanyama au wamayai. Mida miezi michache ijayo wataweza patikana stay
Naam nikija Arusha nitawaona !!!!!
Mkuu mbona hukuonekana Kule Rombo Greenview Hotel? make wadau walikusubilia sana, ok karibu sana Ar mkuu nazani ratiba haijavurugika
Huwezi amini, nimekaa week tatu porini, nilikuwa ktk mapori ya Mufindi,Kilolo,Njombe na Songea. Nimeibuka huko 22february ndio naiona lami. Na sasa niko porini tena. Mafanikio kwa njia za haki ni magumu sana kuyafikia,wee acha tu.
Hawa ni Hybreed kutoka India walio developiwa na Indbrow, hawa ni kati ya kuku wano kuwa very havy ambapo Jogoo wa miezi miwili hufikia kilo 2 huku mtetea akiwa na kilo moja na nusu, na wanaweza fugwa huria na ni dual purpose kwamba wanaweza kuwa wanyama au wamayai. Mida miezi michache ijayo wataweza patikana stay
we stay tuned curiously.....waiting, big up for innovations and searchingHawa ni Hybreed kutoka India walio developiwa na Indbrow, hawa ni kati ya kuku wano kuwa very havy ambapo Jogoo wa miezi miwili hufikia kilo 2 huku mtetea akiwa na kilo moja na nusu, na wanaweza fugwa huria na ni dual purpose kwamba wanaweza kuwa wanyama au wamayai. Mida miezi michache ijayo wataweza patikana stay