Rainbow Rooster poultry

Rainbow Rooster poultry

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Hawa ni Hybreed kutoka India walio developiwa na Indbrow, hawa ni kati ya kuku wano kuwa very havy ambapo Jogoo wa miezi miwili hufikia kilo 2 huku mtetea akiwa na kilo moja na nusu, na wanaweza fugwa huria na ni dual purpose kwamba wanaweza kuwa wanyama au wamayai. Mida miezi michache ijayo wataweza patikana stay
 
Mkuu wakianza kupatikana tuambiane, pia ni vzur tukajulishana unapatkana wapi Arusha.
 
Hawa ni Hybreed kutoka India walio developiwa na Indbrow, hawa ni kati ya kuku wano kuwa very havy ambapo Jogoo wa miezi miwili hufikia kilo 2 huku mtetea akiwa na kilo moja na nusu, na wanaweza fugwa huria na ni dual purpose kwamba wanaweza kuwa wanyama au wamayai. Mida miezi michache ijayo wataweza patikana stay

Naam nikija Arusha nitawaona !!!!!
 
Mkuu mbona hukuonekana Kule Rombo Greenview Hotel? make wadau walikusubilia sana, ok karibu sana Ar mkuu nazani ratiba haijavurugika

Huwezi amini, nimekaa week tatu porini, nilikuwa ktk mapori ya Mufindi,Kilolo,Njombe na Songea. Nimeibuka huko 22february ndio naiona lami. Na sasa niko porini tena. Mafanikio kwa njia za haki ni magumu sana kuyafikia,wee acha tu.
 
Dah pole sana, mkuu,ila next time
 
Ukiweza agiza wengi mkuu. Nafikiri utapata soko maana wengi watahitaji. Je ushapanga bei au tuwe wapole kwanza?
 
Hawa ni Hybreed kutoka India walio developiwa na Indbrow, hawa ni kati ya kuku wano kuwa very havy ambapo Jogoo wa miezi miwili hufikia kilo 2 huku mtetea akiwa na kilo moja na nusu, na wanaweza fugwa huria na ni dual purpose kwamba wanaweza kuwa wanyama au wamayai. Mida miezi michache ijayo wataweza patikana stay

Mkuu utagaji wao ukoje.
 
we stay tuned curiously.....waiting, big up for innovations and searching
 
Back
Top Bottom