Rais aagiza mechi iende penati dakika ya 63 baada ya 'kuboreka'

Makini

Senior Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
154
Reaction score
59
Rais wa Mauritania, Ould Abdel Aziz ameagiza mechi ya fainali ya michuano ya [FONT=open_sansregular]Super Cup ya nchini humo kuingia katika penati ikiwa katika dakika ya 63.

Inasemekana rais huyo alitoa kali hiyo ya mwaka katikati ya mechi akihofia mechi kuendelea mpaka muda wa ziada.

Hata hivyo, shirikisho la soka la Mauritani limekana hayo na kusema kuwa maamuzi ya kuelekeza mechi katika penati yalifanywa kwa kushirikisha makocha wa timu zote mbili.

[/FONT]

Chanzo: Citizen TV Kenya
 
Nitafurahi kama Magufuli ataagiza Kibadeni na Mkwasa wachapwe viboko 2 kila mmoja huku wachezaji wakichapwa viboko 6 kila mmoja ili wakienda kwenye mashindano yajayo wawe makini.
 
Hapana walitakiwa kufungwa miezi 6 jela wakati wakipelekwa gerezani wanatandikwa viboko 5 siku wakitolewa wanatandikwa viboko vingine 5.

Nitafurahi kama Magufuli ataagiza Kibadeni na Mkwasa wachapwe viboko 2 kila mmoja huku wachezaji wakichapwa viboko 6 kila mmoja ili wakienda kwenye mashindano yajayo wawe makini.
 
Nitafurahi kama Magufuli ataagiza Kibadeni na Mkwasa wachapwe viboko 2 kila mmoja huku wachezaji wakichapwa viboko 6 kila mmoja ili wakienda kwenye mashindano yajayo wawe makini.
Mkuu hebu nipashe...je kilstar imefikia wapi huko adiss?
 
Nilikuwa na majirani zangu kutoka Mauritania, huwezi kuamini wazee wazima wanavuta ashish kama hawana akili nzuri. kwa hiyo hapo inawezekana Mr.President naye alishapiga ile mambo akaona mpira gani huu miyeyusho tu, pigeni penalty twenzetu nyumbani.
 
Hiyo ndio Watz wanafurahia yaani maamuzi ya nchi kuendeshwa na 'mtu' badala ya sheria!

mtaisoma namba! Sheria haisemi kila kitu, mambo mengine yanaamuliwa kwa kuzingatia hali ilyopo (status quo).

Haingii akilini timu zinacheza madudu halafu rais anachekelea.
 
taifa stars ifutwe kwanza what a weird name. tutafute jina jingine stars kila nchi inazo lets go for something that identifies us.
 
Nitafurahi kama Magufuli ataagiza Kibadeni na Mkwasa wachapwe viboko 2 kila mmoja huku wachezaji wakichapwa viboko 6 kila mmoja ili wakienda kwenye mashindano yajayo wawe makini.

Hahaha, sidhani kama atashindwa mkuu. Awe tu anapita huku aone ombi lako.
 
Hiyo ndio Watz wanafurahia yaani maamuzi ya nchi kuendeshwa na 'mtu' badala ya sheria!
Tumejaribu wenye busara, wasomi wakubwa na wajuao utawala wa sheria, wakatuangusha. Twende na Magufuli, the only hope we are left with
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…