Rais aambiwe ukweli kuwa si vyema kutulinganisha sisi na Marekani

Rais aambiwe ukweli kuwa si vyema kutulinganisha sisi na Marekani

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
677
Reaction score
1,326
Mwambieni Colorado kima cha chini cha mshahara ni 15.87$ kwa saa Inamaanisha kwa 8hrs mtu wa chini analipwa 126.96$ kwa Mwezi mtu wa Washington dc analipwa 3,808.8$ ambayo ni sawa na 8,851,484..tsh, Majimbo yanayolipa pesa ndogo kabisa yapo 20 na kwa saa wanalipa 7.25$ kwa 8hrs ni 58$ mara mwezi ni 1740$ ambayo ni sawa na 4,043,683..tsh
Kwa taarifa tuu ata huko Ukraine kwenye vita Mafuta yako chini kwa Bei kuliko hapa kwetu 😏😆😆😆
Tanzania Bei ya Mafuta ni 1.401$ na Marekani Bei ya mafuta ni 1.419$
Mwambieni asifananishe maisha ya Wamarekani na sisi watanzania na hasa watanzania masikini (Wanyonge) kwa maana Pesa anayolipwa mtu wa chini kule huku ni mshahara wa mtu mwenye Degree zake Kichwani.
 
Mwambieni kuwa kila nchi ilijipanga na Jambo la vita yeye kwenye nchi Yake ilijipangaje?Serikali nzima inavisingizio vya vita
 
Back
Top Bottom