Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kabisa kwanza Hamas wenyewe hawampendi na kumuua kutafuta huruma ni suala jepesi sana kwao mwache ajichanganye.Kwani Israel anaitaka Gaza? Yeye analinda usalama wake, yuko Gazaclupambana na Hamas, awe makini akienda Gaza kichwa kichwa hamas watamfyatulia risasi ili waseme ni Israel