Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Aug 16, 2024 #21 JR 16 said: Kwani Israel anaitaka Gaza? Yeye analinda usalama wake, yuko Gazaclupambana na Hamas, awe makini akienda Gaza kichwa kichwa hamas watamfyatulia risasi ili waseme ni Israel Click to expand... Kabisa kwanza Hamas wenyewe hawampendi na kumuua kutafuta huruma ni suala jepesi sana kwao mwache ajichanganye.
JR 16 said: Kwani Israel anaitaka Gaza? Yeye analinda usalama wake, yuko Gazaclupambana na Hamas, awe makini akienda Gaza kichwa kichwa hamas watamfyatulia risasi ili waseme ni Israel Click to expand... Kabisa kwanza Hamas wenyewe hawampendi na kumuua kutafuta huruma ni suala jepesi sana kwao mwache ajichanganye.
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Aug 16, 2024 #22 72 bikra wajiandae
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Aug 16, 2024 #23 Anajua yeye ni kibaraka wetu,hawezi kuuliwa