Tokea awe hivyo ( Rais ) mwaka 2015 Watanzania wamemshauri / tumemshauri mambo mengi tu ile je, hadi leo hii ametusikia au katupuuza mno?
Huyu ni mwehu, achana naye
Si nilisikia mahala kuwa baada ya mwaka 2025 ataanza sasa kuitumikia miaka yake 14 kwa kuigawa kwa miaka 7 hivyo huyo Rais ajaye atoke wapi?Tupac aliwahi kusema tunaongea hata leo leo yasipofanyiwa kazi ..kuna mtu anaweza sikia leo akaja kuyafanyia kazi baadae...
Tunapomshauri yeye tunawashauri na Ma Rais watarajiwa pia.. anaweza akaja mwingine akaufanyia kazi ushauri
Kwanini umfukuze kazi mtu siku ya sikukuu??Sidhani kama uteuzi unahitaji anayeteua afanye hivyo muda wa masaa au siku zile za kazi...
Uteuzi ni tamko tu, isipokuwa kuapisha ndio kazi na bila shaka hufanywa siku na wakati wa kazi
Nafasi ya kuteuliwa sio kazi ya ajira, ni nafasi ya kupewa tu (dhamana)...Kwanini umfukuze kazi mtu siku ya sikukuu??
Si umesema kuapishwa huwa ni siku ya kazi na hufanywa hivyo?Wapi imeandikwa hivyo?