Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Mwl. J. K. K. Nyerere ktk hotuba zake aliwahi kusema kuwa "Mtu akijua kuwa una Akili akakwambia jambo la kipumbavu ukakubali kufanya atakudharau" Pia Nyerere alisema Watanzania Mkiwa waoga mtatawaliwa na Rais Dikteta.
Tundu Lissu alikataa wito wa Polisi kumtaka aende Moshi mwingene akaagiza aripoti Daresalaam pia akakataa wito wa Tume huru ya uchaguzi ya ccm kwa kuwa alijua miito hiyo yote ni ya kipumbavu yenye lengo la kutisha watu na kubaka Demokrasia. Tundu Lissu aligoma pia msafara wake kuzuiwa na Mapolisi wenye Mabunduki akielekea Kibaha na hatimaye Mapolisi wakafyata mkia na kutimkia kusiko julikana.
Kimsingi Tundu Lissu amesha Limeng'enyua jiwe meng'enyuu!! Yaani ametumia wiki nne tuu, bwana Sugu anayo hiari kulisugua au kulikanyaga hilo jiwe.
Rais ajaye ni Lissu Mungu anajua hivyo hata Shetani anajua hivyo ndio maana shetani anahangaika kuzuia mpango wa Mungu lakini hataweza.
Lissu atosha.
Maendeleo hayana vyamaa.