Uchaguzi 2020 Rais ajaye ni Lissu Mungu anajua hivyo hata Shetani anajua hivyo

Iyo ndiyo professional yenu, majungu
old school 1947
 
[emoji23][emoji23][emoji23] haki ya nani nimecheka sana aisee, BAVICHA Mungu anawaona
 
Huyu sijui ni Mungu gani mara zote mipango yake inapanguliwa na Ccm! Inabidi sasa uchaguzi ujao huyo mgombea awe ni mpango wa mizimu ili tujaribu. Maana ile 2015 ilikuwa mpango wa shetani ila ilishindilana.
 
Mkuu nyie watu ni wasahaulifu sana,mwaka 2015 August wakati Mzee Lowassa akiwa mgombea urais wa UKAWA,Wakati amekabidhiwa rasmi fomu za kuomba urais alisema hivi''KAMA CCM HAWATAONDOKA MWAKA HUU,BASI UPINZANI ITAWACHUKUWA MIAKA HAMSINI KUJA KUPATA URAIS" mwisho wa kunukuu.
 
Magufuri na Hussein Mwinyi wameamukukaria viti vya urais vyenye damu za watanzania .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…