Hiyo ilikuwa ni Golden chance ,na baadaye wakampaka vumba wale wanaharakati uchwara...Hawezi kutokea tena, kuna mmoja ila naye amekuwa chawa hapo Arusha.Tukipata msukuma mmoja kama magufuli kimaendeleo tungepiga hatua kubwa sana
Mwamba japo alikua na mambo yake ya kishamba ila kwenye kujenga uchumi wa nchi na kuleta nidhamu ya kazi alikua juu sana , kwenye hilo Tanzania haikuwahi kupata raisi kama magufuli na itachukua miaka mingi sana kutokeaHiyo ilikuwa ni Golden chance ,na baadaye wakampaka vumba wale wanaharakati uchwara...Hawezi kutokea tena, kuna mmoja ila naye amekuwa chawa hapo Arusha.
makonda ma mwigulu hawa wajuba wanaweza kuwa kama magufuli, si unaooa mwigulu anavyofamya kama magufuli? Hawa viongozi wakipata madaraka ya juu ni magufuli type.Mwamba japo alikua na mambo yake ya kishamba ila kwenye kujenga uchumi wa nchi na kuleta nidhamu ya kazi alikua juu sana , kwenye hilo Tanzania haikuwahi kupata raisi kama magufuli na itachukua miaka mingi sana kutokea
Sijawafuatilia vizurimakonda ma mwigulu hawa wajuba wanaweza kuwa kama magufuli, si unaooa mwigulu anavyofamya kama magufuli? Hawa viongozi wakipata madaraka ya juu ni magufuli type.
Unaona hata swaga za Mwigulu, eti kundi la maskini limetoa Waziri Mkuu, maza fakamakonda ma mwigulu hawa wajuba wanaweza kuwa kama magufuli, si unaooa mwigulu anavyofamya kama magufuli? Hawa viongozi wakipata madaraka ya juu ni magufuli type.
Kabila si relevant but character . Halaf awe si compromised na wana mtandaoTukipata msukuma mmoja kama magufuli kimaendeleo tungepiga hatua kubwa sana
Marais wote wajao tuwapate kwa mchakato wa maana kama vile wanafanyavyo Malasia.
Tupo au tutakuwa zaidi ya milioni 70, tuboreshe namna tuna mpa mamlaka mtu wa kutuongoza.
Hii ni pamoja na kufanya mdahalo sehemu ya kwanza na ya pili, kwa Kiswahili na Kiingereza.
Wapiga kura tutakuwa tunaona wqaagombea wanavyo mudu masuala mbalimbali.
Njia hiyo ni moja wapo ya uwazi na ushirikishaji wananchi katika kumpata the best candidate then Rais wa JMT.
Acha udiniWaatanzagiza wanaangamizwa na kuangamia kwa kukosa uelewa wa historia, wengi hawaelewi historia ya hii nchi tuishio, muslim wanailewa vizuri na ndiyo maana wako ahead of the game, nashauri raisi ajaye (kama hata kuna kitu kama raisi ajaye tena ambaye siyo muslim) kama siyo mwana historia basi atumie muda wake mwingi kusoma historia yetu kwanza, itamsaidia sana vinginevyo muslims watamzidi tu akili na kummaliza.
Muslims wana lengo na nia ya kuirudisha dola ya sultani ya zanzibar iliyotawala eneo hili la mwambao na mombasa mpaka somalia kama mnafikri rostamu kuingia kenya kwa kuwekeza kiwanda mombasa na mwishowe kununua nmg imetokea tu think again btw rostamu kwao ni zanzibar/irani, kila kitu kinakwenda according to plan na pia kama mnafikiri uraisi wa sasa hivi umetokea tu kwa bahati mbaya/nzuri (inategemea na upande ulioko) hamjui kinachoendelea kila kitu kilipangwa, haijatokea tu kwamba Nyerere, Mkapa na hata Magu wote hawapo, juzi kati waziri wa mambo ya ndani kafungua milango kwa somalia (labda Simbachawene aligoma ) na wasomali kuingia nchini bila ya kikwazo chochote, kwa nini? katika watu wote wasomali watu wanaoleta shida kila mahali sisi tuwape red carpet? dola ya zanzibar ilitawala pwani yetu, mombasa mpaka kismayu somalia.
Wanaofwatia ni kenya watapata shock of their life na atakayewauza kwa muslim ni raisi wao ruto na yeye pia kama vile watanzagiza hana uelewa wa kutosha wa historia, na baada ya muslim kuishika kenya kisiasa kwani kiuchumi tayari kenya ilishaenda nairobi ni kama inamilikiwa na somali inafwatia kisiasa and then game over na njia nyeupe kwa islamic republic of east afrika ...