William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Hali ya Ugaidi duniani NI Ajenda muhimu kwenye mkutano wa Baraza la ulinzi la umoja wa mataifa.
Naomba Raisi wetu atakapohutubia Baraza Hilo aelezee pia juu ya kundi hatari zaidi la kigaidi Tanzania ambalo bado halijapatiwa jina lenye watu wanne ili dunia ilijue na ikabiliane nao.
Kundi Hilo linaloongozwa na Mbowe na lenye watu wanne likiwa na silaha hatari ambazo NI bastola moja na risasi nne pia linajihusisha na dawa za kulevya kwani linamiliki kete nyingi mno Kama 83 za heliam. Pia lilipokea ufadhili wa Dola 265 kutoka kwa Kiongozi wao.
Pia NI Vyema dunia iambiwe na ijue kabisa washirika wa kundi Hilo duniani kwani kwa kawaida makundi ya ugAidi duniani hushirikiana na kupeana ufadhili Kama ilivyo kwa ISS, Al shabab, Alqaida na boko haramu.
Pia matukio ya Ugaidi ambayo limewahi kufanya dunia iyajue ili wanaolimtetea waumbuke.
Pia dunia ijuzwa malengo ya kundi husika NI Nini haswa. NI ya kidini au?
Naomba tu ukatwe mzizi wa fitina wabishi waumbuke tarehe 23/ 09.