Rais akahutubie juu ya Hali ya Ugaidi na kundi la kigaidi Tanzania linaloongozwa na Mbowe na walinzi wake lilivyo hatari kwa usalama wa dunia

Rais akahutubie juu ya Hali ya Ugaidi na kundi la kigaidi Tanzania linaloongozwa na Mbowe na walinzi wake lilivyo hatari kwa usalama wa dunia

... kwa uzito wa masuala ya ugaidi na kwa kuzingatia nguvu na rasilimali zinazotumika kupambana nao kwa sasa; na kwa kuzingatia kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini anapambana na kesi ya ugadi high court itakuwa ajabu sana endapo hotuba yake Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa haitagusia suala la ugaidi ndani ya ardhi ya Tanzania.
 
Hawezi kuongelea swala la ugaidi huko UN kwa maana anafahamu vyema kwamba Tanzania hakuna ugaidi na anafahamu vyema kwamba kesi ya Mbowe imebumbwa ili kumfanya apumue kwa pressure ya katiba mpya.
 
Kwa hiyo Kama Nchi Ina magaidi hiyo filam ya utalii MABEBERU watakuja?
Au stealing atakuwa amekufa?
Sielewi Samia hatumii kichwa chake au inakuwaje

Unawatangazia watu kwamba nchi yako ina magaidi wakati huo huo unawataka watalii waje kutembelea nchi yako.

How on earth one can risk his life to come down to Tz kukutana na ugaidi.

These Sirroz guys are not using their brain hata kidogo
 
Back
Top Bottom