Rais akahutubie juu ya Hali ya Ugaidi na kundi la kigaidi Tanzania linaloongozwa na Mbowe na walinzi wake lilivyo hatari kwa usalama wa dunia

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Hali ya Ugaidi duniani NI Ajenda muhimu kwenye mkutano wa Baraza la ulinzi la umoja wa mataifa.

Naomba Raisi wetu atakapohutubia Baraza Hilo aelezee pia juu ya kundi hatari zaidi la kigaidi Tanzania ambalo bado halijapatiwa jina lenye watu wanne ili dunia ilijue na ikabiliane nao.

Kundi Hilo linaloongozwa na Mbowe na lenye watu wanne likiwa na silaha hatari ambazo NI bastola moja na risasi nne pia linajihusisha na dawa za kulevya kwani linamiliki kete nyingi mno Kama 83 za heliam. Pia lilipokea ufadhili wa Dola 265 kutoka kwa Kiongozi wao.

Pia NI Vyema dunia iambiwe na ijue kabisa washirika wa kundi Hilo duniani kwani kwa kawaida makundi ya ugAidi duniani hushirikiana na kupeana ufadhili Kama ilivyo kwa ISS, Al shabab, Alqaida na boko haramu.

Pia matukio ya Ugaidi ambayo limewahi kufanya dunia iyajue ili wanaolimtetea waumbuke.

Pia dunia ijuzwa malengo ya kundi husika NI Nini haswa. NI ya kidini au?


Naomba tu ukatwe mzizi wa fitina wabishi waumbuke tarehe 23/ 09.
 
Nimekuelewa mtoa mada, hiki KIAJUZA cha Makunduchi kisipo sema huo UGAIDI aliosema ana ushahidi nao ,kikirudi tutamkabizi kwenye mitala yake , kwa wake wenza wakisuteโ€ฆ๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜๐Ÿ˜†

Ila nchi hii imejamba kwa kweli๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„
 
Muulize mwanasesere wa Polepole .. Amesema ushahidi upo na wengine wameshafungwa tena aliutangazia ulimwengu kupitia BBC, ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜

MaCCM wote akili zao hazina akili.
Duh! kuna "Mwanasesere" kumbe?
 
Wezako wanajua tz nisehemu salama hawaangalii kurembua kwake kama yuko mkazano mudawote watu watatazama ushahidi fala wee

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Duh! kuna "Mwanasesere" kumbe?
โ€œMwanasesere wa Polepole โ€œ a.k.a โ€œJoice wowowoโ€ wale vijana wa miaka ya mwisho ya 80. na mwanzo wa miaka ya90. wanamwelewa sana Polepole..๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ
Tulikua tunalipia Joice wowowo anachezeshwa nyimbo za โ€œKanda Bongo Manโ€ Indeeโ€ฆ๐Ÿ’ƒ๐Ÿพ๐Ÿ•บ๐Ÿฝ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ