Rais akahutubie juu ya Hali ya Ugaidi na kundi la kigaidi Tanzania linaloongozwa na Mbowe na walinzi wake lilivyo hatari kwa usalama wa dunia

😆 😆 😆
 
Eti gaidi ana bastola moja na dola 250 duh!!!! Hiii ni kiboko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo usiku wa manane nimeota kuwa kuna Paka fulani litahutubia huko UN leo kutoka nchi fulani ya Corona wa kwenye mapapai na oil.
 
You made my day bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…