Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kwa namna Mhe. Rais anavyowatumbua wale aliowasifia siku chache tu baada ya kuwasifia natoa rai wa wateule wa Mhe. Rais kijitafakari.
Tarehe 4/4/2024 wakati anaapisha viongozi wapya atamsifia mmoja baada ya mwingine; niwaombe mzitafakari hizo sifa. Atasema amewapeleka kimkakati ila jitafakarini nyendo zenu.
Mama hapendi kudhalilisha watoto wake adharani, anawachapa kwa siri sana. Jitahidini sana kufanya kazi kwa utashi wenu siyo kwa kujipendekeza maana mama hapendi unafiki.
Sikiliza alivyomsifia Makonda na leo angalia alichokifanya kwenye mkeka.
Jitafakarini