Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nchi hii in maajabu sana; tunadanganywa sana. Kama wapo wakurugenzi walikuwa wanakopa kudeclare gawio kwa serikali tena wakiwasilisha hizo taarifa kwa Mhe. Rais unajiuliza hadi udanganyifu huu ubarikiwe nani na kufanyika mbele ya camera wahusika walikuwa wananufaikaje? Je, hayo madeni nani alikuwa anatakiwa kuyalipa?
Kila sehemu udanganyifu udanganyifu na bado kila tukianza kufanya jambo tunamwalika Mungu; haiwezekani Mungu akawa ametuchoka kwa jinsi tunavyotumia jina lake vibaya?
Kila sehemu udanganyifu udanganyifu na bado kila tukianza kufanya jambo tunamwalika Mungu; haiwezekani Mungu akawa ametuchoka kwa jinsi tunavyotumia jina lake vibaya?