Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Ni karibu miezi mitatu sasa toka Rais atoe like tangazo, je hii haionyeshi vacillation, kwamba Rais anashindwa kufanya maamuzi,au anashindwa kufanya maamuzi magumu?
Historia ya Cabinet reshuffle Tanzania haijaonyesha bado kwamba kufanya Cabinet reshuffle ni jambo gumu.
Kwa hiyo rai yangu mimi ni kwamba Rais akamilishe mabadiliko ambayo aliyaanza, kama alivyosema,na Nchi itazame mbele.
Please note, sijasema amtoe yule pale,amweke huyu,au ampumzishe huyu au vipi. Naongea tu kuhusu culmination of the task.