Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Tusipende Shari za wengineNi karibu miezi mitatu sasa toka Rais atoe like tangazo,je hii haionyeshi vacillation,kwamba Rais anashindwa kufanya maamuzi,au anashindwa kufanya maamuzi magumu...
Huwa anawawezaNi karibu miezi mitatu sasa toka Rais atoe like tangazo,je hii haionyeshi vacillation,kwamba Rais anashindwa kufanya maamuzi au anashindwa kufanya maamuzi magumu...
Katiba mpya iruhusu Raisi kuteua Waziri mkuu, Mwaziri, makatibu wakuu mtu yoyote kusiwepo na vikwazo vya Ya Ubunge ili kuteua waziri.Wote ni walewale labda asajili kutoka ulaya
Tatizo baada ya Nyerere hatukuwahi kupata rais mwenye maono. Wengi waliofuata walikuwa na malengo yao binafsi na si ya nchi. Wakipewa nafasi ya kuteua nje ya bunge usishangae kukuta balaza la mawaziri likitoka wilaya au mkoa mmoja. Jiulize kwa nini leo hii kila mbunge kutoka mkoa wa pwani ni waziriKatiba mpya iruhusu Raisi kuteua Waziri mkuu, Mwaziri, makatibu wakuu mtu yoyote kusiwepo na vikwazo vya Ya Ubunge ili kuteua waziri, Rais anatakiwa apewe uwanja mpana wa kumteua Raia yoyote awe waziri mkuu na waziri na naibu pasipo kuwa wabunge, hii itasaidia kuwabana Wanachama wa CCM wanao tafuta ubunge kwa pesa ili wawe mawaziri.
Magu kafa kwa utaahira wake wa kudharau COVID wakati ana magonjwa ya moyo. Na kwa ujinga wake mpaka watu wake wa karibu wamekufa Kwasababu ya kumuogopa.Nakumbuka Magufuli aliwahi uliza hivi
" mimi nimewakosea nini, kwanini Mwinyi mkampa miaka 10, Mkapa akamaliza yake 10, Mzee Jakaya akamaliza yake 10. Kwanini msiache nimalizie 10 yangu...