Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
Rais akiwa na sifa hizi Mwoga, Muuaji, Malaya, Hajielewi, Mshirikina, Mlevi, Mhuni, Fisadi, Asiye na Uelewa/Elimu tusimchague
Watanzania tugome kumchagua. Ni kwamba hafai hata kidogo. Pima mtu ambaye anagombea Urais. Ukimwona ana sifa hizo huyo ni Shetani. Haijalishi ana jinsia gani, elimu gani, rangi gani au Dini gani.
Kuna wale ambao huangalia Dini au Chama. Wapumbavu hao. Madhara hayatawapata Dini, Kabila wala Chama kimoja. Watapata Watanzania wote na wachache walio mezani pa hilo jizi na tapeli, hilo uuaji na chawi.
Wanapokuja watu hawa.wapimeni. kama hakuna anayefaa msipoteze muda hata kwenda piga kura kwa mijizi.