Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
Hizo zote ulizozitaja ukiambiwa anazo mama yako mzazi utafurahi?Rais akiwa na sifa hizo hapo juu Watanzania tugome kumchagua. Ni kwamba hafai hata kidogo. Pima mtu ambaye anagombea Urais. Ukimwona ana sifa hizo huyo ni Shetani. Haijalishi ana jinsia gani, elimu gani, rangi gani au Dini gani.
Kuna wale ambao huangalia Dini au Chama. Wapumbavu hao. Madhara hayatawapata Dini, Kabila wala Chama kimoja. Watapata Watanzania wote na wachache walio mezani pa hilo jizi na tapeli, hilo uuaji na chawi.
Wanapokuja watu hawa.wapimeni. kama hakuna anayefaa msipoteze muda hata kwenda piga kura kwa mijizi.
Hata kama mama yako anazo ni Shetani sisi hatutajali ni mama yako.Hizo zote ulizozitaja ukiambiwa anazo mama yangu mzazi unadhani nitafufahi?
Hizo sifa unazo wewe na ukoo wenuHata kama mama yako anazo ni Shetani sisi hatutajali ni mama yako.
Rais akiwa na sifa hizi Mwoga, Muuaji, Malaya, Hajielewi, Mshirikina, Mlevi, Mhuni, Fisadi, Asiye na Uelewa/Elimu tusimchague
Watanzania tugome kumchagua. Ni kwamba hafai hata kidogo. Pima mtu ambaye anagombea Urais. Ukimwona ana sifa hizo huyo ni Shetani. Haijalishi ana jinsia gani, elimu gani, rangi gani au Dini gani.
Kuna wale ambao huangalia Dini au Chama. Wapumbavu hao. Madhara hayatawapata Dini, Kabila wala Chama kimoja. Watapata Watanzania wote na wachache walio mezani pa hilo jizi na tapeli, hilo uuaji na chawi.
Wanapokuja watu hawa.wapimeni. kama hakuna anayefaa msipoteze muda hata kwenda piga kura kwa mijizi.
Kama kweli anazo huyo mama yangu mzazi na watu walimwambia asigombee akajiteua itakuwa haki yake,Suala la kufurahi litoeHizo zote ulizozitaja ukiambiwa anazo mama yako mzazi utafurahi?
Mbona unagusa kwenye mshono wa mgombea huyu?Rais akiwa na sifa hizi Muuaji, Mshirikina, Mlevi, Mhuni, Asiye na Uelewa/Elimu tusimchague
Kwa uchaguzi upi? Wapi? Lini? Maana Tanzania hakuna uchaguzi kuna maigizo tuRais akiwa na sifa hizi Mwoga, Muuaji, Malaya, Hajielewi, Mshirikina, Mlevi, Mhuni, Fisadi, Asiye na Uelewa/Elimu tusimchague
Watanzania tugome kumchagua. Ni kwamba hafai hata kidogo. Pima mtu ambaye anagombea Urais. Ukimwona ana sifa hizo huyo ni Shetani. Haijalishi ana jinsia gani, elimu gani, rangi gani au Dini gani.
Kuna wale ambao huangalia Dini au Chama. Wapumbavu hao. Madhara hayatawapata Dini, Kabila wala Chama kimoja. Watapata Watanzania wote na wachache walio mezani pa hilo jizi na tapeli, hilo uuaji na chawi.
Wanapokuja watu hawa.wapimeni. kama hakuna anayefaa msipoteze muda hata kwenda piga kura kwa mijizi.
Muungano ufe Tanganyika ipate uhuru wake Mkoloni Kaburu toka Zanzibar arejee kwao ZanzibarKama kweli anazo huyo mama yangu mzazi na watu walimwambia asigombee akajiteua itakuwa haki yake,Suala la kufurahi litoe
Muungano Ufe Tanganyika iwe huru ifanye uchaguzi wake huru na Haki