Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Nimependa kauli aliyotumia Mhe. Rais, pamoja na kwamba yupo juu ya watumishi wote amejishusha nakuwaomba watekeleze maelekezo yake. Wapo watakaopuuza nakumfanya aanze kuwakoromea nakuwatimua timua...msimlaumu.
Mfanye ajihisi mnapaswa kunyenyekewa kwa namna mnavyochapa kazi, mkizembea akakunjua makucha msiseme wakubwa atukuwaambia.
Utokea mara chache hasa Afrika. Hongera Mhe. Rais kwa mwanzo mzuri.
Mfanye ajihisi mnapaswa kunyenyekewa kwa namna mnavyochapa kazi, mkizembea akakunjua makucha msiseme wakubwa atukuwaambia.
Utokea mara chache hasa Afrika. Hongera Mhe. Rais kwa mwanzo mzuri.