Semilong
JF-Expert Member
- Mar 5, 2009
- 1,711
- 220
kikwete akutaka kumpa mwenyewe kwa sababu zake binafsiTukurudi kwa Kimei kama meneja ni mmoja wapo wa watu ambao Rais alifikiria kumpa Ugavana BoT ( from a reliable source) badala ya Balali kufariki. Inasemekana Usalama wa Taifa ukamshauri Rais vinginenvyo.
Kwa mtazamo wangu Kimei akipewa nishani kama yeye italeta utata maana uongozi ni zaidi ya kutengeneza faida. What about ethics?
mbona huo usalama wa taifa haujamshauri kuhusu peter noni na wengine wengi tu.....