Rais amtoa hofu Balozi Yakubu: Si demotion. Tunataka mkakijenge kitengo kwa nguvu zote

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Negative plus Negative 🟰 Positive

Don’t think it’s a demotion simply means…😂😂😂.
Uzuri ni kwamba Rais akikuteua kwa nafasi yoyote ile juwa kwamba wewe ni jembe na anakuamini utamsaidia. Watanzania ni wengi, Rais akikuamini wewe nenda kapige kazi kweli kweli.

Mamlaka aliyo nayo Rais anapanga timu yake ya ushindi na hakuna anayeweza kumhoji. Anakupanga anapoona unafaa kuwepo na kumsaidia kutekeleza ahadi na malengo yake ya kuwaletea wananchi maendeleo.
 
Negative plus Negative 🟰 Positive
Si kweli!
Type of numbers Operation sign Outcome Example
Positive + Positive +Positive (+)3 + 2 = 4
Negative + Negative +Negative (-) (-3)+(-2) = -5
Positive + Negative ++ or – (depends on greater number’s sign) 3 +(-2) = 1
or
(-3) +2 = -1
 
Negative plus Negative 🟰 Positive

Don’t think it’s a demotion simply means…😂😂😂.
Uzuri ni kwamba Rais akikuteua kwa nafasi yoyote ile juwa kwamba wewe ni jembe na anakuamini utamsaidia. Watanzania ni wengi, Rais akikuamini wewe nenda kapige kazi kweli kweli.

Mamlaka aliyo nayo Rais anapanga timu yake ya ushindi na hakuna anayeweza kumhoji. Anakupanga anapoona unafaa kuwepo na kumsaidia kutekeleza ahadi na malengo yake ya kuwaletea wananchi maendeleo.
= Negative*Negative
 
Si kweli!
Type of numbers Operation sign Outcome Example
Positive + Positive+Positive (+)3 + 2 = 4
Negative + Negative+Negative (-)(-3)+(-2) = -5
Positive + Negative++ or – (depends on greater number’s sign)3 +(-2) = 1
or
(-3) +2 = -1
Uko sahihi, I meant times
 
Negative plus Negative 🟰 Positive

Don’t think it’s a demotion simply means…😂😂😂.
Uzuri ni kwamba Rais akikuteua kwa nafasi yoyote ile juwa kwamba wewe ni jembe na anakuamini utamsaidia. Watanzania ni wengi, Rais akikuamini wewe nenda kapige kazi kweli kweli.

Mamlaka aliyo nayo Rais anapanga timu yake ya ushindi na hakuna anayeweza kumhoji. Anakupanga anapoona unafaa kuwepo na kumsaidia kutekeleza ahadi na malengo yake ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Huu ndiyo ujinga kabisa, tunaishi kwa kutegemea mtu mmoja anawaza kwa niaba ya watu 61M, ndiyo maana maendeleo hakuna
 
Kuna kitu hakipo sawa ktk mamlaka ya uteuzi!
leo mtu tanasco na kaharibu, kesho TTCL, lesho kutwa Pasta!
Halafu mteuzi anamwambia kuwa wewe mi jembe! 🤣 🤣 🤣
Mteuzi hajielewi au hajiamini.
Huyo maharage tokea alopochaguliwa Tanesco alipwaya vibaya sana akaondolewa tanesco kimyakimya akapelekwa ttcl mara sasa sijui posta.
 
Ukiwa kiongozi utajua maana yake nini. Kiongozi anasikilizaaaaa then anafanya maamuzi kutokana na malengo aliyojiwekea.
Hapo ndiyo kwenye ujinga, inatakiwa tutegemee mifumo ya nchi na siyo akili na mawazo ya kiongozi
Kabisa Kwa sasa tulivyopata kiongozi ghalasha na kilaza ni shida tupu.
Imeshatokea zaidi ya mara moja kumteua mtu Leo kesho anamtengua sijui huyo anayesema malengo ya kiongozi so huyo aliyemteua Kwa siku moja alikuwa na malengo naye ya siku moja
 
Mteuzi hajielewi au hajiamini.
Huyo maharage tokea alopochaguliwa Tanesco alipwaya vibaya sana akaondolewa tanesco kimyakimya akapelekwa ttcl mara sasa sijui posta.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Negative plus Negative 🟰 Positive

Don’t think it’s a demotion simply means…😂😂😂.
Uzuri ni kwamba Rais akikuteua kwa nafasi yoyote ile juwa kwamba wewe ni jembe na anakuamini utamsaidia. Watanzania ni wengi, Rais akikuamini wewe nenda kapige kazi kweli kweli.

Mamlaka aliyo nayo Rais anapanga timu yake ya ushindi na hakuna anayeweza kumhoji. Anakupanga anapoona unafaa kuwepo na kumsaidia kutekeleza ahadi na malengo yake ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Kiprotokali ni demotion lakini kwa kuwa Rais ana malengo yaliyofichika ili kufanikisha dili lake ameamua kumshusha! Kwa hiyo atakuwa treated kama senior kwa kumuogopa Rais lakini watu wa itifaki watamuweka anapostahili!
 
Kabisa Kwa sasa tulivyopata kiongozi ghalasha na kilaza ni shida tupu.
Imeshatokea zaidi ya mara moja kumteua mtu Leo kesho anamtengua sijui huyo anayesema malengo ya kiongozi so huyo aliyemteua Kwa siku moja alikuwa na malengo naye ya siku moja
Ni ujinga tupu, mtu anateuliwa kwa matakwa ya kiongozi na siyo matakwa ya umma
 
Ukiwa kiongozi utajua maana yake nini. Kiongozi anasikilizaaaaa then anafanya maamuzi kutokana na malengo aliyojiwekea.
Pia hakuna uwezekano tukawa wote milioni 61 marais.

Brazil wanao watu milioni zaidi ya milioni 200 wana rais mmoja tu.

Nigeria wana watu zaidi ya milioni 180 wana rais mmoja tu.
 
Negative plus Negative 🟰 Positive

Don’t think it’s a demotion simply means…😂😂😂.
Uzuri ni kwamba Rais akikuteua kwa nafasi yoyote ile juwa kwamba wewe ni jembe na anakuamini utamsaidia. Watanzania ni wengi, Rais akikuamini wewe nenda kapige kazi kweli kweli.

Mamlaka aliyo nayo Rais anapanga timu yake ya ushindi na hakuna anayeweza kumhoji. Anakupanga anapoona unafaa kuwepo na kumsaidia kutekeleza ahadi na malengo yake ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Kwenye line ya utumishi wa umma(bila line ya Wanasiasa), mtu mkubwa kuliko Katibu Mkuu wa wizara ni Jaji Mkuu, Jaji Kiongozi, Katibu Mkuu Kiongozi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG kuna mixer ya siasa na Utumishi wa Umma).
 
Back
Top Bottom