Rais amtoa hofu Balozi Yakubu: Si demotion. Tunataka mkakijenge kitengo kwa nguvu zote

Rais amtoa hofu Balozi Yakubu: Si demotion. Tunataka mkakijenge kitengo kwa nguvu zote

Balozi ni kama Raisi wa Tanzania nje ya Tanzania - sio demotion ni upgrade. Mabalozi wetu wote nje nya nchi ni maRaisi wetu huko walipo hata kama haimo kikatiba.
 
Negative plus Negative 🟰 Positive

Don’t think it’s a demotion simply means…😂😂😂.
Uzuri ni kwamba Rais akikuteua kwa nafasi yoyote ile juwa kwamba wewe ni jembe na anakuamini utamsaidia. Watanzania ni wengi, Rais akikuamini wewe nenda kapige kazi kweli kweli.

Mamlaka aliyo nayo Rais anapanga timu yake ya ushindi na hakuna anayeweza kumhoji. Anakupanga anapoona unafaa kuwepo na kumsaidia kutekeleza ahadi na malengo yake ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Timu ya ushindi VS Team ya maendeleo.

Rais anawaza ushindi siku zote. Anataka kushinda chaguzi zote
 
Back
Top Bottom