Si kweli!Negative plus Negative 🟰 Positive
| Type of numbers | Operation sign | Outcome | Example |
|---|---|---|---|
| Positive + Positive | + | Positive (+) | 3 + 2 = 4 |
| Negative + Negative | + | Negative (-) | (-3)+(-2) = -5 |
| Positive + Negative | + | + or – (depends on greater number’s sign) | 3 +(-2) = 1 or (-3) +2 = -1 |
= Negative*NegativeNegative plus Negative 🟰 Positive
Don’t think it’s a demotion simply means…😂😂😂.
Uzuri ni kwamba Rais akikuteua kwa nafasi yoyote ile juwa kwamba wewe ni jembe na anakuamini utamsaidia. Watanzania ni wengi, Rais akikuamini wewe nenda kapige kazi kweli kweli.
Mamlaka aliyo nayo Rais anapanga timu yake ya ushindi na hakuna anayeweza kumhoji. Anakupanga anapoona unafaa kuwepo na kumsaidia kutekeleza ahadi na malengo yake ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Uko sahihi, I meant timesSi kweli!
Type of numbers Operation sign Outcome Example Positive + Positive + Positive (+) 3 + 2 = 4 Negative + Negative + Negative (-) (-3)+(-2) = -5 Positive + Negative + + or – (depends on greater number’s sign) 3 +(-2) = 1
or
(-3) +2 = -1
Huu ndiyo ujinga kabisa, tunaishi kwa kutegemea mtu mmoja anawaza kwa niaba ya watu 61M, ndiyo maana maendeleo hakunaNegative plus Negative 🟰 Positive
Don’t think it’s a demotion simply means…😂😂😂.
Uzuri ni kwamba Rais akikuteua kwa nafasi yoyote ile juwa kwamba wewe ni jembe na anakuamini utamsaidia. Watanzania ni wengi, Rais akikuamini wewe nenda kapige kazi kweli kweli.
Mamlaka aliyo nayo Rais anapanga timu yake ya ushindi na hakuna anayeweza kumhoji. Anakupanga anapoona unafaa kuwepo na kumsaidia kutekeleza ahadi na malengo yake ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Ni mambo ya hovyo sn ndiyo maana hatuendeleiKuna kitu hakipo sawa ktk mamlaka ya uteuzi!
leo mtu tanasco na kaharibu, kesho TTCL, lesho kutwa Pasta!
Halafu mteuzi anamwambia kuwa wewe mi jembe! 🤣 🤣 🤣
Ukiwa kiongozi utajua maana yake nini. Kiongozi anasikilizaaaaa then anafanya maamuzi kutokana na malengo aliyojiwekea.Huu ndiyo ujinga kabisa, tunaishi kwa kutegemea mtu mmoja anawaza kwa niaba ya watu 61M, ndiyo maana maendeleo hakuna
Hapo ndiyo kwenye ujinga, inatakiwa tutegemee mifumo ya nchi na siyo akili na mawazo ya kiongoziUkiwa kiongozi utajua maana yake nini. Kiongozi anasikilizaaaaa then anafanya maamuzi kutokana na malengo aliyojiwekea.
Mteuzi hajielewi au hajiamini.Kuna kitu hakipo sawa ktk mamlaka ya uteuzi!
leo mtu tanasco na kaharibu, kesho TTCL, lesho kutwa Pasta!
Halafu mteuzi anamwambia kuwa wewe mi jembe! 🤣 🤣 🤣
Ukiwa kiongozi utajua maana yake nini. Kiongozi anasikilizaaaaa then anafanya maamuzi kutokana na malengo aliyojiwekea.
Kabisa Kwa sasa tulivyopata kiongozi ghalasha na kilaza ni shida tupu.Hapo ndiyo kwenye ujinga, inatakiwa tutegemee mifumo ya nchi na siyo akili na mawazo ya kiongozi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mteuzi hajielewi au hajiamini.
Huyo maharage tokea alopochaguliwa Tanesco alipwaya vibaya sana akaondolewa tanesco kimyakimya akapelekwa ttcl mara sasa sijui posta.
Kiprotokali ni demotion lakini kwa kuwa Rais ana malengo yaliyofichika ili kufanikisha dili lake ameamua kumshusha! Kwa hiyo atakuwa treated kama senior kwa kumuogopa Rais lakini watu wa itifaki watamuweka anapostahili!Negative plus Negative 🟰 Positive
Don’t think it’s a demotion simply means…😂😂😂.
Uzuri ni kwamba Rais akikuteua kwa nafasi yoyote ile juwa kwamba wewe ni jembe na anakuamini utamsaidia. Watanzania ni wengi, Rais akikuamini wewe nenda kapige kazi kweli kweli.
Mamlaka aliyo nayo Rais anapanga timu yake ya ushindi na hakuna anayeweza kumhoji. Anakupanga anapoona unafaa kuwepo na kumsaidia kutekeleza ahadi na malengo yake ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Ni ujinga tupu, mtu anateuliwa kwa matakwa ya kiongozi na siyo matakwa ya ummaKabisa Kwa sasa tulivyopata kiongozi ghalasha na kilaza ni shida tupu.
Imeshatokea zaidi ya mara moja kumteua mtu Leo kesho anamtengua sijui huyo anayesema malengo ya kiongozi so huyo aliyemteua Kwa siku moja alikuwa na malengo naye ya siku moja
Pia hakuna uwezekano tukawa wote milioni 61 marais.Ukiwa kiongozi utajua maana yake nini. Kiongozi anasikilizaaaaa then anafanya maamuzi kutokana na malengo aliyojiwekea.
Ujuaji mwingi pia. Kila mada mbongo anataka aichangie!.Wabongo maneno mengi kazi kidogo
Kwenye line ya utumishi wa umma(bila line ya Wanasiasa), mtu mkubwa kuliko Katibu Mkuu wa wizara ni Jaji Mkuu, Jaji Kiongozi, Katibu Mkuu Kiongozi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG kuna mixer ya siasa na Utumishi wa Umma).Negative plus Negative 🟰 Positive
Don’t think it’s a demotion simply means…😂😂😂.
Uzuri ni kwamba Rais akikuteua kwa nafasi yoyote ile juwa kwamba wewe ni jembe na anakuamini utamsaidia. Watanzania ni wengi, Rais akikuamini wewe nenda kapige kazi kweli kweli.
Mamlaka aliyo nayo Rais anapanga timu yake ya ushindi na hakuna anayeweza kumhoji. Anakupanga anapoona unafaa kuwepo na kumsaidia kutekeleza ahadi na malengo yake ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Umma upi unamchagua Rais? Acha kudanganywa wew. Siasa ni biashara za watu.Ni ujinga tupu, mtu anateuliwa kwa matakwa ya kiongozi na siyo matakwa ya umma