King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
uzi mzuri sema ungechangia kwenye ule uzi wa mchungaji ambaka kondoo wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais amwita Wema Sepetu chumbani kwake, nia ni kumliwaza. Amtumia gari na mpambe... Habari kamili uk wa 4....
NIKANUNUA GAZETI MAANA YALIKUWA YAMEWEKWA CHINI YA MIPIRA HUWEZI FUNGUA NDANI.
Uk wa 4 sasa,
Rais wa Manzese madee mwenye chumba kimoja hapo manzese, hivi karibuni alimtumia tax Wema Sepetu na kumkaribisha kwake ili amliwaze kwa msiba ulotokea hivi karibuni. Dereva wa tax hiyo alieleza kuwa baada ya kufika nyumbani kwa wema, aligoma kupanda gari hilo hivo kuondoka mikono mitupu. Nkasema moyoni leo wameniokota hawanipati tena.
Wasipofanya hivyo watakula nini?
Azimio Jipya, I thought you loved surprises... 🙂... OMG.. I love this !! Kwanza hakuwa Rais aliyekuwa kichwani kwangu, pili Wema mwenyewe didnt go ... !!!
Mwali I do .. But not this one ...! imagine amefanikiwa kunifanya nitegeneze fall's Character wote kichwani kwangu ... possibly na tukio ... hah hah!!Azimio Jipya, I thought you loved surprises... 🙂