DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Huwezi kuwaweka sawa watu wanaoshiriki na wanaoshindana.
Mwambieni ukweli utofauti uliopo kati ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho.
Mambieni waziwazi kuwa hawa wanaoshiriki Kombe la Shirikisho walishindwa kupambana kule katika Ligi ya Mabingwa.
Mwambieni waziwazi kuwa Simba SC ndio icon ya nchi linapokuja suala la uwakilishi wa kimataifa.
Mwambieni waziwazi kuwa Yanga wanacheza ligi ya vibonde, ambayo haina msisimko ni ligi ya waliofeli.
Halafu mumpe nafasi mwenyewe aamue utoaji wa motisha.
Naamini anaamini kuwa Kombe analocheza Simba SC ndio ambalo Yanga nao wanashiriki.
Mwambieni ukweli kuwa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116].....