Rais anadanganywa au anaendeshwa na ushabiki?

Rais anadanganywa au anaendeshwa na ushabiki?

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Huwezi kuwaweka sawa watu wanaoshiriki na wanaoshindana.

Mwambieni ukweli utofauti uliopo kati ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho.

Mambieni waziwazi kuwa hawa wanaoshiriki Kombe la Shirikisho walishindwa kupambana kule katika Ligi ya Mabingwa.

Mwambieni waziwazi kuwa Simba SC ndio icon ya nchi linapokuja suala la uwakilishi wa kimataifa.

Mwambieni waziwazi kuwa Yanga wanacheza ligi ya vibonde, ambayo haina msisimko ni ligi ya waliofeli.

Halafu mumpe nafasi mwenyewe aamue utoaji wa motisha.

Naamini anaamini kuwa Kombe analocheza Simba SC ndio ambalo Yanga nao wanashiriki.


Mwambieni ukweli kuwa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116].....
FB_IMG_1680601567276.jpg
 
Na akijua hili naamini hatotoa hata senti kwenye LUZAZ KAPU
 
Huwezi kuwaweka sawa watu wanaoshiriki na wanaoshindana....

Mwambieni ukweli utofauti uliopo kati ya LIGI YA MABINGWA na KOMBE LA SHIRIKISHO .

Mambieni waziwazi kuwa hawa wanaoshiriki kombe la shirikisho walishindwa kupambana kule katika LIGI YA MABINGWA.

Mwambieni waziwazi kuwa SIMBA SC ndio icon ya nchi linapokuja suala la uwakilishi wa kimataifa.

Mwambieni waziwazi kuwa utopolo wanacheza ligi ya vibonde,ambayo haina msisimko ni ligi ya waliofeli....

Alafu mumpe nafasi mwenyewe aamue utoaji wa motisha.....

Naamini anaamini kuwa kombe analocheza SIMBA SC ndio ambalo uto nao wanashiriki.


Mwambieni ukweli kuwa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116].....View attachment 2603538
Huu ni upumbavu ndo unawasumbua,kwa nini unipangie chakutoa . Wivu ndo unawasunbua kipindi kile mnashiliki shirikisho mpaka mkaloga kwenda 1/2 hamkujua hili.
Any way HII UNAWEZA PELEKA CAF IKAWAVUSHA KWENDA NUSU FAINALI.
 
Huu ni upumbavu ndo unawasumbua,kwa nini unipangie chakutoa . Wivu ndo unawasunbua kipindi kile mnashiliki shirikisho mpaka mkaloga kwenda 1/2 hamkujua hili.
Any way HII UNAWEZA PELEKA CAF IKAWAVUSHA KWENDA NUSU FAINALI.
Umekarika????

Mimi nawatania tu dah.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa akili zenu mbovu mshapaniki[emoji1787]

NB:MAMA AAMBIWE UKWELI KUWA UTO WANACHEZA FUTUHI,[emoji23]
 
Afande Rama ubongo wako umejaa makamasi matupu

Jitahidi kuwa na fikra yakinifu siyo unatumia uharo kuandika nyuzi zako hizi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom