Rais anafanya maamuzi tu, ila taarifa za kuamua anapewa na wengine

Rais anafanya maamuzi tu, ila taarifa za kuamua anapewa na wengine

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
11,966
Reaction score
11,218
Kwa wale wanaodhani Magufuli alikuwa pekee wafikirie tena.

Asilimia kubwa ya maamuzi yake ni report tu alizokuwa anasoma na kuamua kutokana na option anazopewa.

Nape, Mwigulu na Makamba; eleweni vita mnavyonunua sio na marehemu bali watu waliohai.

Kibaya zaidi hiyo vita kapewa mtu ambae anawalia timing tu.
 
Tofauti ya waziri na raisi sio kubwa sana.

Mawaziri wanapewa ma file senstive ya wizara zao karibu kila siku kuamua; wengi awasomi.

Na raisi anapewa ya wizara zote kuamua.

Ndio mjue nyie vilaza Magufuli hakuwa peke yake katika maamuzi; kuna watu waliyataka maamuzi aliyochukua based na info walizokuwa wanampa.

Huu upuuzi wa watu kujifanya hii nchi mali yao ushachokwa kupitia CCM.

Mwisho wake sio mzuri; watch this space.

Mod iache hii post ipo siku nitaifufua tu.

Kwa logic tu kuna vitengo serikalini lazima vina walia timing hawa watu watatu Mwigulu, January na Nape; siku yao yaja watashangaa kwa tamaa na ujinga waliounyesha kwenye siasa.
 
Tatizo la hili taifa hakuna vetting system ya kuaminika na kueleweka, hao jamaa uliowataja japo wanaonekana wanaenda kinyume na maadili ya vyeo vyao, lakini bado watalindwa na system hiyo hiyo iliyowalinda wakina Makonda enzi zao.

Believe me, kama ikitokea wakataka kupewa madaraka, na mwenyekiti wao/Rais akawa upande wa mmoja wao, basi huyo anayepewa support na mwenyekiti atashinda kwa msaada wa system, hata kama record yake kiutendaji ni mbovu, hili limeshaonekana hata kwa baadhi ya waliopewa uwaziri awamu hii, ndio maana wana majibu ya dharau na kiburi.
 
Ujinga upi waliouonyesha??
Hakina nani?

Kama unazungumzia Nape, January na Mwigulu; ni kumtukana Magufuli na kudhani alikuwa pekee.

Bila ya Samia 2025 waibe vya kutosha; mwisho wao sio mzuri; wanajiamini sana wakati maadui zao wote awawajui.

Binanfsi naiombea hiyo siku ya moto wao; ungrateful bunch.
 
Hakina nani?

Kama unazungumzia Nape, January na Mwigulu; ni kumtukana Magufuli na kudhani alikuwa pekee...
My friend, let me assure you again; the only way unaweza kusikiwa haya maombi yako ni endapo kama "Mungu ataingilia kati tena" lakini kinyume na hapo, wataendelea kuringa kwa majibu ya dharau wakijua fika wakati wao wa "kulamba asali" umerudi, hakuna wa kuwaondoa hapo kwa sasa.
 
My friend, let me assure you again; the only way unaweza kusikiwa maombi yako ni endapo kama "Mungu ataingilia kati tena" lakini kinyume na hapo, wataendelea kuringa kwa majibu ya dharau wakijua fika wakati wao wa "kulamba asali" umerudi, hakuna wa kuwaondoa hapo kwa sasa.
Hakuna marefu yasiyo na ncha; ngoja tuone mwisho wake.

Ila waelewe tu ndani ya muda mfupi wameweza kuwakera watu wengi sana kwa kejeli zao.

Wengi wape hawa watu walipewa nafasi awamu ya tano wakaamua vingine.

Karma is a bitch
 
Blah blah tu, usitishie nyau watu wazima
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha; ngoja tuone mwisho wake.

Ila waelewe tu ndani ya muda mfupi wameweza kuwakera watu wengi sana kwa kejeli zao.

Wengi wape hawa watu walipewa nafasi awamu ya tano wakaamua vingine.

Karma is a bitch
Nyie mtakuwa masukuma gang, mlilamba sana asali na dikteta wenu mkajisahau na mkaaminii we shall be under dictator forever.

Km hittler Adolf, iddi amin wanasemwa, dictator JPM ni nani kwa matendo yale hasisemwe?

Hacha legacy nzuri usemwe kwa mazuri, poteza, dhulumu, ua watu tukuseme kwa matendo yako
 
Nyie mtakuwa masukuma gang, mlilamba sana asali na dikteta wenu mkajisahau na mkaaminii we shall be under dictator forever.
Km hittler Adolf, iddi amin... wanasemwa, dictator JPM ni nani kwa matendo yale hasisemwe??
Hacha legacy nzuri usemwe kwa mazuri, poteza, dhulumu, ua watu tukuseme kwa matendo yako
I am all for disagreement, ila sio story za kutunga. Eti maiti kwenye viroba za Magufuli how absurd is that.
 
Back
Top Bottom