Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Hakina nani?Ujinga upi waliouonyesha??
My friend, let me assure you again; the only way unaweza kusikiwa haya maombi yako ni endapo kama "Mungu ataingilia kati tena" lakini kinyume na hapo, wataendelea kuringa kwa majibu ya dharau wakijua fika wakati wao wa "kulamba asali" umerudi, hakuna wa kuwaondoa hapo kwa sasa.Hakina nani?
Kama unazungumzia Nape, January na Mwigulu; ni kumtukana Magufuli na kudhani alikuwa pekee...
Hakuna marefu yasiyo na ncha; ngoja tuone mwisho wake.My friend, let me assure you again; the only way unaweza kusikiwa maombi yako ni endapo kama "Mungu ataingilia kati tena" lakini kinyume na hapo, wataendelea kuringa kwa majibu ya dharau wakijua fika wakati wao wa "kulamba asali" umerudi, hakuna wa kuwaondoa hapo kwa sasa.
Nyie mtakuwa masukuma gang, mlilamba sana asali na dikteta wenu mkajisahau na mkaaminii we shall be under dictator forever.Hakuna marefu yasiyo na ncha; ngoja tuone mwisho wake.
Ila waelewe tu ndani ya muda mfupi wameweza kuwakera watu wengi sana kwa kejeli zao.
Wengi wape hawa watu walipewa nafasi awamu ya tano wakaamua vingine.
Karma is a bitch
I am all for disagreement, ila sio story za kutunga. Eti maiti kwenye viroba za Magufuli how absurd is that.Nyie mtakuwa masukuma gang, mlilamba sana asali na dikteta wenu mkajisahau na mkaaminii we shall be under dictator forever.
Km hittler Adolf, iddi amin... wanasemwa, dictator JPM ni nani kwa matendo yale hasisemwe??
Hacha legacy nzuri usemwe kwa mazuri, poteza, dhulumu, ua watu tukuseme kwa matendo yako