Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

Kama ni automatic, basi Lissu asinge dai posho zake wakati alijua hakuwepo bungeni! Vitu vingine don't just assume.
Kama ni automatic, basi Lissu asinge dai posho zake wakati alijua hakuwepo bungeni! Vitu vingine don't just assume.
Lisu akulilia posho acha uongo, alikua anadai haki zake za matibabu Kama mbunge
 
Ulipokosea ninkusema tunachojiuliza wananch .sema nachojiuliza mm ? Japo nakuunga mkono 85 %
Wananchi yeye na mumewe, Rais kwa mujibu wa katiba ndiye mkuu wa nchi, na kama mkuu wa nchi yuko na mamlaka ya kifalme ikiwemo kuagiza kitu chochote kifanyike au kisifanyike, tuko na mkuu wa nchi mmoja tu, Rais kama mkuu wa serikali (head of government) hawezi ingilia muhimili mwingine, hampendi badilisheni katiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais sio Mbunge lakini ni sehemu ya Bunge.

Head of State and Government.

Mpaka hapo inatosha.
Nimekwambia kuwa kwa nchi yoyote inayojidai kuwa ina utawala bora, ni lazima pawepo na "separation of power" katika mihimili 3 mikuu, katika kile kinachoitwa "check and balance"
 
Umenena vizuri sana .hujapanic kabisa.katiba ndo inaruhusu afanye hivo yeye na mumewe ni maoni ya wawili nice to meet them
 
Kwani posho ni nin mkuu? Me nazani chadema walijua kabisa kujiisolet watakosa posho na wamekubaliana na hilo, nachojua unalipwa posho baada ya kusaini mahudhilio pindi uingiapo bungeni sio otherwise. Jiwe anatafuta kiki tu za.kishamba kwenye hilii.
Jiwe kanasa mwenyewe kwenye mtego wa Chadema. Yaani Serikali kuingilia kwenye Mihimili mingine. Sasa ni wazi kwa kila mmoja kulitambua hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
demokrasia si njia sahihi ya kuiondoa CCM madarakani.

itafutwe plan B!
 
Kwa mawazo yako kwa kuwa nyinyi mna buku 7, mnadhani na Chadema nao wako hivyo hivyo?

Mimi nasukumwa na uzalendo wa nchi hii, hata ukiwauliza viongozi wa Chadema, mimi hawanijui kabisa!

Sidhani kama umeelewa nilichomaanisha, na hata sijaku qoute wewe sijui umepata wap ujasiri wa kujibu mambo yasiyokuhusu
 

Umesahau pia uwa Bunge linaweza kumwondoa Rais

Jielimishe kwanza


 
Katiba inamruhusu? Kwa Ibara ipi ya Katiba. Wengine tunapenda kujifunza!!
Kama yeye ndiye anayelipa wote, why not? Kama yeye na chama chake wanaamua nani awe speaker nashangaa nini?
Nyerere alipowaambia wabunge ntakuja kupambana na nyinyi mkiniletea za kuleta alitumia kitu gani?
Kifusi, katiba yetu inampendelea sana mkuu wa nchi kuliko yoyote yule
 
Ulipokosea ninkusema tunachojiuliza wananch .sema nachojiuliza mm ? Japo nakuunga mkono 85 %
Sasa unasemaje Mimi nimiosea kwa kijumlisha wananchi, wakati huo wewe pia ukiniunga mkono kwa mawazo yangu??
 
Wapumbavu nyie siku zenu zinahesabika, ndo keshafanya hivyo, ukitaka kujua nguvu ya umma kianzisheni afu tuombe "vyombo" vikae pembene hapo ndo utajua wananchi ni akina nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais sio Mbunge lakini ni sehemu ya Bunge.

Head of State and Government.

Mpaka hapo inatosha.
mbn mnazunguka sana wazee? toen jibu tu ikiwa ni sawa raisi kumuagiza spika afanye maamuzi flani na km ni sawa je pia naweza kuiagIza mahakama ifanye maamuzi flani maana nao ni mhimili km bunge
 
Ninakwambia u Kauthar, post: 35223680, member: 48082"]
Alafi ujue chadema wasipokuwe na ajira yako ya buku 7 ndio imekufa, sijui ulishawaza hilo ama unafuata mkumbo tu ewe buku 7
[/QUOTE]
Ninakwambia hiyo buku 7 ni mfumo ambao upo kwenu hapo Lumumba........

Mimi nasukumwa na uzalendo wangu na kuyafichua madudu yanayofanywa na utawala huu wa awamu ya 5
 
nankumene said:
mbn mnazunguka sana wazee? toen jibu tu ikiwa ni sawa raisi kumuagiza spika afanye maamuzi flani na km ni sawa je pia naweza kuiagIza mahakama ifanye maamuzi flani maana nao ni mhimili km bunge
@namkumene
Umemuuliza swali zuri sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…