dunia ni kina nani mkuu? ni kweli sisi tunadanganya sana wazungu kwenye check and balance ni executive inaburuza wenzake openly, bongo hatuna uhuru wa kukashifu na kupinga serikali kwenye public, uchaguzi wetu chenga chenga tu, watoto wenye mimba kurudi skuli hatuafiki ila tunasaini na kuchukua mpunga, ushoga hatutakaa tuukubali ila tunasaini kuwa hatuna shida na mashoga!!
kitu kizuri wazungu hutudanganya mengi zaidi ya tunayowadanganya sie!!! Mungu akupe nafasi uishi na wazungu uzunguni hutaamini utakayojionea!!! hali ya hewa ni mbaya mno huko miezi mingi, ni miezi mitatu au minne tu ya summer ndio huenjoy ila muvi zao nyingi ni za summer bata kama zote basi kila mtu mweusi ataka akaishi huko hawajui ukienda uzunguni unaishia ndani miezi nane baridi kali!! wazungu omba omba barabarani na mateja kama wote! wazungu ni watu feki mno , asilimia 80 ni vilaza, form six mtu kasoma balaa! kila mtu ni mdeni wa benki, kampuni ya cm, supermaket na manispaa!! wazungu ni wabaguzi wa rangi openly, ukitangulia kukalia siti ya mbele kwenye daladala wote watapita wakakae nyuma, ukikaa nyuma wanahamia mbele!! bus likijaa ukisimama nyuma ya mzungu mkoba wake ulioko mgongoni au ubavuni anautoa anauweka mbele kwenye tumbo lake!! wazungu husema watu weusi hutoa harufu kali na mbaya ya jasho si wa kuhug hug ovyo! nao husema mengi tofauti na wanayotenda kwa watu weusi!! mi sioni dhambi kuwazuga mambo yetu labda tujisikie vibaya kudanganya weusi wenzetu si wazungu i talk from bad experience ya kuishi na wazungu! trust me!!