Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
wewe si unamuona obama yuko mtaani anasukuma toroli lenye bidhaa alizotoka kununua sokoni,...tena kwa usafiri wa miguu kabisa
Sijajua bado vyombo vya usalama nchini utaratibu wa kuongoza misafara ya wakubwa serikalini hasa Rais katika vyombo vya usafiri. Mapokeo na utaratibu wa nchi nyingi duniani Rais anaposafiri kwa kutumia usafiri wa gari hukaa passenger seat ya kati wakati wanausalama wake hukaa viti vya mbele na kama kuna viti zaidi nyuma ya rais. Sasa hii picha naona Rais kakaa kiti cha mbele, hii imekaaje?
Nazi zinalindwa?
avator yake inamjibu kisawa sawawewe si unamuona obama yuko mtaani anasukuma toroli lenye bidhaa alizotoka kununua sokoni,...tena kwa usafiri wa miguu kabisa
Tungo tata
nazi zina haki ya kulindwa .
mwizi ataziiba
Hahaha! mbona kova kasema watu wasiandamane akiofia wamiliki wa dowans (aka Al-shabab) watawalipua?hatuna al shababy bongo
nazi zina haki ya kulindwa .
Mwizi ataziiba
Nazi zinalindwa?
Sijaelewa.
Mtu akiwa mbishi kuhusu usalama wake ni kumuacha tu yatokee yakutokea.